Wednesday, September 15, 2010

Kiswahili

Kiswahili ni lugha ya taifa nchini Tanzania, na baadhi ya nchi nyingine katika afrika ya mashariki. Ni jikumu letu sisi kama WANAZUONI toka nchini Tanzania tukiendeleze na kukikuza KISWAHILI popote pale tulipo.

Katika blog hii ningependa kushirikiana na walewadau na wazalendo wa kweli katika kukuza na kundeleza lugha yetu. unaruhusiwa kuchangia,kutoa uashauri na maoni kuhusu yale yaliyopo kwenye hii BLOG.